Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuikubali hali uliyonayo lazima ikujenge kimaisha.
Mwenyezi Mungu huyafanya yote kwa hekima zake
 
Jamani, usinikumbushe hebu, vile nimeumiss ule muunganiko, maana wamepotea wooote, umebaki peke yako na umekuwa mpole mpaka siyo poa!! Nammiss yule Karma wa one girl army, ulikuwa lit, unachachafya na kuogofya, Sijui ni Depal ama ni Saint anne kuna mmoja kakuambukiza u calm hukuwa hivyo akii'..!!
Mie ndo sieleweki kama mvua za Dar, Najiona naruka ruka tu kama popcorn za muhindi siku hizi! Maana mambo yangu yamekuwa mengi mpaka yanapandiana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…