Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Mine is excellent. Kenti kompuleini...Huziwezi hizo
Is good bro, how's yours?
Jamani, usinikumbushe hebu, vile nimeumiss ule muunganiko, maana wamepotea wooote, umebaki peke yako na umekuwa mpole mpaka siyo poa!! Nammiss yule Karma wa one girl army, ulikuwa lit, unachachafya na kuogofya, Sijui ni Depal ama ni Saint anne kuna mmoja kakuambukiza u calm hukuwa hivyo akii'..!!
Mie ndo sieleweki kama mvua za Dar, Najiona naruka ruka tu kama popcorn za muhindi siku hizi! Maana mambo yangu yamekuwa mengi mpaka yanapandiana!!
Hii bima ndiyo inapokelewa na kila hospitali?
Sijajua badoHii bima ndiyo inapokelewa na kila hospitali?
Wewe sevu tu aisee....[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki shimba utanijazia gallery yangu maana hivi vichekesho vyako najikuta navisave kimoja baada ya kingine
Ukweli mchunguView attachment 1274104
Yes ya Numbisa.