Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwimbaji wa taarabu Ishe Mashauzi anatafuta mume, anasema yeye ni mzuri wa "kila kitu", wanaume wasiogope maana hana masharti mengi, anahitaji mtu anayeweza kumuhudumia na kumpa upendo wa dhati, sura yako wala haimuhusu.





Changamkieni fursa hiyo
 
Huyu mwana mama alishasemaga starehe yake ni mapenzi aatakae muoa basi ajipange
 
ningendako bae 😍😍 nani aficha wewe jamaniiii
badala ya kumtafuta kwa njia nyengine za mawasiliano cha ajabu unakuja kumuulizia humu.
depal vipiiiiiii au stress za valencia zimeshaanza?

nina wasiwasi ningendako ameshatafuta mwengine.
utabaki kuwa mabeki tatu,
mwanamke hata kupika biryan hujui
kazi yako kukesha vibanda vya betting kama tiketi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…