Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Naunga mkono hojaKweli tupu[emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1275282
Naunga mkono hoja
Aaaah wapi!!!!Naunga mkono hoja
Ama kweli ndoa ni uvumilivu ila huyu bibie ana matatizo kama kweli hii story ni ya kweliNdugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?
Habari, Hili jambo limenitesa miaka nenda miaka rudi, natamani lifike mwisho. Wakati naingia kwenye mahusiano na huyu ambae ni mume wangu sasa, alikuja binti mmoja ambaye alikuwa ndo kamaliza form 4 (mdogo wake) akaanza kusoma cozi kwenye chuo flani. Nikapata ujauzito so ikabidi nilete binti...www.jamiiforums.com
Why?Aaaah wapi!!!!
Kwanini?Ama kweli ndoa ni uvumilivu ila huyu bibie ana matatizo kama kweli hii story ni ya kweli
Tatizo lake anafatilia au anataka kujua huyu wifi yake amefanya kazi gani hapo nyumbani hali ya kuwa yeye ndio muhusika huyo ni mpita njia tu,why asifanye yeye na huyo dada wa kazi kesi nyingine ngumu kutoa ushauri.Kwanini?
Ya bajaji na ya kutolea nazo si hela kwani?ππππWhy?
Ile si kama sadaka jamani au huwa mnahebuYa bajaji na ya kutolea nazo si hela kwani?ππππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1275285
Hapana, huyu wifi ni zaidi ya mpita njia.Tatizo lake anafatilia au anataka kujua huyu wifi yake amefanya kazi gani hapo nyumbani hali ya kuwa yeye ndio muhusika huyo ni mpita njia tu,why asifanye yeye na huyo dada wa kazi kesi nyingine ngumu kutoa ushauri.
Kama hajui majukumu yake ni wakumuacha kukaa kimya ni jibu afanye mwenyewe ili ndoa yake iwe na amani ni aibu kuachika kwa sababu ndugu wa mume wamekataa kusaidia kazi.Hapana, huyu wifi ni zaidi ya mpita njia.
Kama anakaa hapo kwa mda mrefu sio sahihi kutokujisgughulisha japokua inawezekana mke anakosea namna ya kumwelewesha ....
RIPMsanii wa muziki wa kizazi kipya bibi Cheka amefariki Dunia.
Buriani bibi Cheka.
View attachment 1275431