Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sukari ikizidi inaharibu macho eti[emoji2]
Nalimiaga hii miwa kwenye kimto hivi kina chemchemi nzuri na pamoja na utamu wake, juisi ya miwa yangu pia ina uchumvi chumvi kidogo kwa mbali. Uchumvi chumvi huu unakinza madhara yo yote yanayoweza kuletwa na utamu uliopitiliza wa sukari iliyomo. Hata kama una kisukari hii juisi yangu unatumia tu bila madhara. Njoo usiogope !!!
 
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitazimia andaeitini mimi
 
Duh hii miwa ni zile White rojo flan hivi ambazo daktari anapendekeza at least Mara mbili kwa wiki upate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…