Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwenye jukumu la kulinda afya ya baharia ni baharia mwenyewe. Kudai vinginevyo ni kukwepa majukumu na kuhamisha lawama tu. Wewe mwanamke umempata humu mitandaoni humjui mbele wala nyuma ndiyo kweli unauza mechi? Bila kupima na kuvishana mipira? Tena mechi nne tofauti? Shwaini zake baharia huyu kefule. Mi wala simhurumii...
Ni kweli ila na yule dada pia hana utu bana.
 
Adhabu sahihi kabisa...

IMG-20191129-WA0018.jpeg
 
Back
Top Bottom