moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Karibu Bagamoyo
Sawa bossHabari ndiyo hiyo bi dada.
Tunapenda sana miruko ni mirusho ila kila kizuri kina madhara.
Tulia na mmoja uliyenaye, kama hasomeki mpe kibuti, tafuta mwingine ufunge naye ndoa.
AiseeKaribu BagamoyoView attachment 1276490
Wakinihurumia Sana wananipa majani ya maboga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilishajigundulia njia nzuri ya kupata siti kwenye daladala.
Uzuri wa mlenda ni ule utelezi wake....yaani matonge ni kutelelezeshea tu hakuna kuhangaika [emoji16][emoji16][emoji16][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Ila hayo umenionea,sio yangu kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi unanifaa mlenda
Hata ambao tulikuwa hatupigi kelele darasani maisha yanatukong'ota tu hivi hivi. Afadhali hata wewe ulifaudu kwa kupiga kelele darasani.
Karibu mtani.Mambo yamekuwa mengi Ila nimerudi
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hongera mkuu, nisalimie fundi maiko anayekujengea mjengo wako[emoji23][emoji23][emoji23].
Kwema lakini kaka.
Utelezi[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Ila hayo umenionea,sio yangu kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi unanifaa mlenda