Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

PF_18_R102_LAY_SHP_V1.jpeg
 
Hongera mkuu, nisalimie fundi maiko anayekujengea mjengo wako[emoji23][emoji23][emoji23].
Kwema lakini kaka.
Likizo yangu inakaribia kuisha, bado kidogo nimalizie mjengo wangu... Naamini mjukuu utakuja Mwakaleli kunitembelea baada ya kumaliza ujenzi huu...
Nimekukumbuka sana Depal [emoji120][emoji120]View attachment 1276337
 
Back
Top Bottom