Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshukuru Mungu kwa kila jambo.
Ulipo sasa ni bora kuliko ulipo toka.
Yote haya ni Mungu ana makusudi na wewe.
Hakuna geni katika maisha ya mwanadamu bali kila siku ijayo imesheheni mambo mapya machoni pa mwanadamu, yapo ya kuyashinda, yapo ya kuyapokea. Muombe Mungu yawe mengi ya kuyashinda kuliko yale ya kuyapokea.
Ushindi wako sasa ndio furaha yako baadaye.....
Nakutakia miaka mingi zaidi na zaidi ukiwa na afya njema Kgothalo [emoji120][emoji120]
 
Nakutakia miaka mingi zaidi na zaidi ukiwa na afya njema[emoji120][emoji120]
Amen[emoji120][emoji120]
 
Mshukuru Mungu kwa kila jambo.
Ulipo sasa ni bora kuliko ulipo toka.
Yote haya ni Mungu ana makusudi na wewe.
Hakuna geni katika maisha ya mwanadamu bali kila siku ijayo imesheheni mambo mapya machoni pa mwanadamu, yapo ya kuyashinda, yapo ya kuyapokea. Muombe Mungu yawe mengi ya kuyashinda kuliko yale ya kuyapokea.
Ushindi wako sasa ndio furaha yako baadaye.....
Nakutakia miaka mingi zaidi na zaidi ukiwa na afya njema Kgothalo [emoji120][emoji120]
Asante sana Anko [emoji120][emoji120]
 
Baharia in trouble. Mabinti wanne wa JF na wote kauza mechi. Na si ajabu na mechi zingine za huko huko mtaani kauza pia. Baharia hayuko siriazi na maisha huyu [emoji16][emoji16]
Hatari sana, sema kama huyo dada alijijua ni muathirika basi alikosea sana kutokuwalinda mabaharia.

Halafu niliona pia kwenye uzi wa kula tunda kimasikhara kuna baharia alidhania ameunasa halafu akaanza kuuza mechi ovyo ...

Tuwe makini sana, dunia hii watu hawana utu tena.
 
Haya anko, nikajua ulikua unasimamia uchaguzi bana.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
IMG_20181224_135620.jpeg
 
Back
Top Bottom