Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mi nilikuwa naongelea mlenda mwingine na wewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujui Kama Mimi Ni andaeitini!???[emoji85][emoji85]
 
Happy birthday Kgothalo, miaka mingi kwako
Kgothalo; mbona umefuta meseji orijino ya birthday? Anyway, ngoja nami nidandie hapa kwa andaeitini huyu kukutakia kila la heri na furaha isiyomithilika leo unaposherehekea sikukuu yako ya kuzaliwa na siku nyingine nyingi zijazo. Hangamaga ilumbulyane (ishi maisha marefu dadangu) [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Asante sana Kaka yangu mpendwa [emoji4][emoji4]
 
Hatari sana, sema kama huyo dada alijijua ni muathirika basi alikosea sana kutokuwalinda mabaharia.

Halafu niliona pia kwenye uzi wa kula tunda kimasikhara kuna baharia alidhania ameunasa halafu akaanza kuuza mechi ovyo ...

Tuwe makini sana, dunia hii watu hawana utu tena.
Mwenye jukumu la kulinda afya ya baharia ni baharia mwenyewe. Kudai vinginevyo ni kukwepa majukumu na kuhamisha lawama tu. Wewe mwanamke umempata humu mitandaoni humjui mbele wala nyuma ndiyo kweli unauza mechi? Bila kupima na kuvishana mipira? Tena mechi nne tofauti? Shwaini zake baharia huyu kefule. Mi wala simhurumii...
 
IMG-20191129-WA0020.jpeg
 
Back
Top Bottom