Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20191128-WA0005.jpeg
 
IMG-20191129-WA0015.jpeg


FURAHA HAPATIKANI BADO...

Askofu anayedaiwa kutelekeza watoto, hana furaha

Watoto wanaodaiwa kutekekezwa, hawana furaha

Gazeti linaloandika habari hizo ili kuzuia mijadala mingine, halina furaha

Mhariri anayelinganisha Askofu na Taifa, hana furaha

Wanaolazimishwa kusoma habari hizo, hawana furaha

Tuendelee kumtafuta furaha mahali popote alipo.
 
Back
Top Bottom