Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kaandaeitini ka Kinyakyusa kajanja. Nakakaribisha limuwa linene lenye juisi tamu eti hakataki. Shwaini za kenyewe kabisa..."MUWAA... " [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Huku kwema bro. Vipi utakuja Mbagala yetu kwenye Noeli au utabakia chimboni?Kweli bro, harakati zinabana kiasi chake hila as usual tukipata muda tunakutana hapa, vipi siku inaishaje pande hizo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ka binti Mwakaleli kanaonekana kajanja kajanja sana.Kaandaeitini ka Kinyakyusa kajanja nakakaribisha limuwa linene lenye juisi tamu eti hakataki. Shwaini za kenyewe kabisa...
Siku nyingi hatujasalimiana halafu. Wapwa zangu na dada hawajambo huko?
Kaandaeitini ka Kinyakyusa kajanja nakakaribisha limuwa linene lenye juisi tamu eti hakataki. Shwaini za kenyewe kabisa...
Siku nyingi hatujasalimiana halafu. Wapwa zangu na dada hawajambo huko?
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ka binti Mwakaleli kanaonekana kajanja kajanja sana.
Mungu ni mwema tunaendelea vizuri kabisa.
Ni imani yangu umesha ripoti pale "Mbagala kwa wakusoma",kama ni hivyo karibu sana
Huo huo unaoujua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Unaongelea ukubwa wa aina gani weye?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sinaga Marafiki.Mwenye rafiki hakosi shemeji1[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
Nzuri.. umeamkaje?Safi, hali yako Anne
Asubuhi njema
Salam kwenu
Amen[emoji120]Weekend iwe njema kwetu wooote
Duh!Baharia amefumaniwa na mwendawazimu
Mahakama imempa chaguo, amuoe au jela miaka 10.
Baharia mpaka sasa hajatoa jibu[emoji23][emoji23]View attachment 1276689
Acha kumkuza andaeitini wangu [emoji3][emoji3][emoji3]Mi nilikuwa naongelea mlenda mwingine na wewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]