Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwenye jukumu la kulinda afya ya baharia ni baharia mwenyewe. Kudai vinginevyo ni kukwepa majukumu na kuhamisha lawama tu. Wewe mwanamke umempata humu mitandaoni humjui mbele wala nyuma ndiyo kweli unauza mechi? Bila kupima na kuvishana mipira? Tena mechi nne tofauti? Shwaini zake baharia huyu kefule. Mi wala simhurumii...
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kuna wanafiki wa Aina mbili.
Wa kwanza Ni hao walioelezewa hapo juu,
Wengine Ni wale ambao macho Yao Kama darubini kunasa maovu ya mume wangu na kuyaleta kwangu.
Wote siwahitaji..nikiwa mkubwa sitaki ushemeji wa kinafiki[emoji2]
[emoji3][emoji3][emoji3] kwa hiyo tutatakiwa kufanya nini wifi maana kila kitu kwako hakifai
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kwa hiyo tutatakiwa kufanya nini wifi maana kila kitu kwako hakifai
Mnatakiwa kupiga goti na kuombea ndoa yangu.
Maswala ya upelelezi wa ndoa yangu sitaki[emoji1787],unakuta mtu kutwa kucha kuleta taarifa za umbea kuhusu mumeo..huyo nia yake ndoa ivunjike

Mashemeji nao,yaani wanatoka kufanya ujinga na mume wangu huko halafu wanakuja kujichekesha kwangu Muda huo huo,utasikia"ahhh shemelaa huyo"
 
Ndoa yako ombea mwenyewe, unatupa jukumu la kuombea ndoa yako we unafanya kazi gani? Sina muda huo mimi
 
Hana utu kivipi wakati anasema walikuwa wanatumia mpira mabaharia wanavua katikati ya mechi ila akikuwa anawakatalia? Kwa maana hiyo hakuna baharia aliyesex nae peku... Kukosa kwake utu kuko wapi sasa
Mabaharia wengi hovyo. Mnato ukiwanogea kampa kampa katikati ye gemu wanaamua kuuza mechi. Binti naye kama keshawaka hata nguvu za kusema "pulizi bebi vaa nyingine" hana gwaride si linaendelea hivyo hivyo peku peku? Leo mkwamo umetokea eti wanamlaumu binti.

Nenda kwenye ule uzi wanaosimuliana jinsi walivyokula tunda kimasikhara ndo utajua ujinga wa mabaharia. Hakuna hata mmoja aliyekumbuka kondomu na sasa uzi unakaribia comments sijui elfu ngapi.

100% kosa hapa ni la mabaharia...
 
Hakika mabaharia wanafeli sana, ule uzi nimeusoma ila nimeweka nimejiahidi kutofungua tena. Naamini Mungu atanisaidia
Mabaharia wengi hovyo. Mnato ukiwanogea kampa kampa katikati ye gemu wanaamua kuuza mechi. Binti naye kama keshawaka hata nguvu za kusema "pulizi bebi vaa nyingine" hana gwaride si linaendelea hivyo hivyo peku peku? Leo mkwamo umetokea eti wanamlaumu binti.

Nenda kwenye ule uzi wanaosimuliana jinsi walivyokula tunda kimasikhara ndo utajua ujinga wa mabaharia. Hakuna hata mmoja aliyekumbuka kondomu na sasa uzi unakaribia comments sijui elfu ngapi.

100% kosa hapa ni la mabaharia...
 
Ndoa yako ombea mwenyewe, unatupa jukumu la kuombea ndoa yako we unafanya kazi gani? Sina muda huo mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi naiombea..na Kama Hilo jukumu hamlitaki Basi hata Hilo la upelelezi msifanye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]. Mi kwenye harusi ya kenyewe hata buku sichangi ng'o! Na kuombea siombei pia. Labda kakihama Livapuu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3] ndio maana yake
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa Sina dada Wala Kaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom