moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Endeleaaaa,umeishia kwenye sembeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mambo 11 ambayo nimeacha kuyatenda
vipi niendeleeeee next page?
- kusikiliza redio : sijui nina miaka mingapi sijasikiliza redio kwa kutaka
- kuangalia vipindi vya televisheni za kitanzania
- kusoma magazeti
- kufuatilia mpira wa Tanzania na afrika kwa ujumla kama wafanyavyo wengineo
- kufuatilia muziki wa kitanzania na afrika kwa ujumla kama wafanyavyo wengineo
- kuangalia filamu za kitanzania na afrika kwa ujumla
- kufuatilia muziki wa marekani, nilikuwa mshabiki mkubwa sana wa chris brown pamoja na eminem.
- kuperuzi mitandao ya soka kama goal.com n.k
- kuperuzi mitandao ya habari zaidi ya JF, kwa mfano bbc, aljazeera.
- kufuatilia mara kwa mara mechi za timu nyengine nisizozishabikia mfano liverpool, arsenal............ zamani nilikuwa na uwezo wa kuangalia mechi mfululizo kwa siku moja.
- kula sembeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na umasikini wangu
hapo nimegusa media kwa kiasi kikubwa
HaupogoHivi hapa jf kuna uzi wenye likes na comments kibao kama huu uzi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umesahau anawaza pia mshahara wa mwenzie sh ngapimkorea kabla hajafunga ndoa anawaza gharama za maisha pindi watakapokuwa wawili.
mswahili kabla hajafunga ndoa anawaza bikira ya mwenzake awe ni meee au keeee

mambo 11 ambayo nimeacha kuyatenda