moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
mungu ametuumba wanadamu na heshima ndani yake ukilinganisha na viumbe wengineo.
fanya uchafu wako basi ifiche aibu yako mbele ya hadhira.
mtu hata akifanya mapenzi na watu tofauti mara 10 wala hanishughulishi kwa sababu najua ni maisha yake na sina haki ya kumpangia.
kama nilikuwa nakuheshimu basi nitaanza kukudharau kama utajitangaza hadharani
Nilichogundua wanaume wengi wa JF hawatumii kondom, wanapenda 'Unprotected Sex'
Ingawa uwiano wa maambukizi ya HIV inaonyesha wanawake ndio walioambukizwa zaidi kuliko wanaume, ila nimegundua wanaume wanacheza rafu sex sana. Mwaka 2018 January nilkutana na mwanaume humu, tukakubaliana kuwa wapenzi, yeye akiishi Dodoma Mimi nikiwa Bukoba. Siku ya kwanza ku-sex naye...www.jamiiforums.com
Sunbae nina ombi, naomba uniwekee kule drama inaitwa I miss you kama unayo...Amecheza Yoon Eun Hye puliiiz[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]mkorea kabla hajafunga ndoa anawaza gharama za maisha pindi watakapokuwa wawili.
mswahili kabla hajafunga ndoa anawaza bikira ya mwenzake awe ni meee au keeee
Sunbae nina ombi, naomba uniwekee kule drama inaitwa I miss you kama unayo...Amecheza Yoon Eun Hye puliiiz[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisaa inaboa sana unataman kuipigizasimu chini
Siku hizi wametoa hio system la sivyo huyo mod angelibeba bifu kali mno na likes ningemnyima
umesahau kama joseon nyumba za madada poa zilikuwepoTulia kijana wacha tupate vitu unafikiri Joseon huku
Kama mchele hauna mawe wala pumba mwaga tu hakuna ubaya