Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Mimi nasubiri ushuhuda wako.hii wiki vipiiiiii
Tuliowahi kula totozi za JF njooni hapa
Habari wanaJF. Tukiwa tunaianza wikendi taratibu huku tukisahau shida na mihangaiko ya dunia acha leo nilete ushuhuda kidogo kutokana na niliyowahi kuyapitia hapa jf hususani katika nyanja za mapenzi. Kuna mengi nimeyaona humu ila leo acha nizungumzie kitu kimoja tu. MNYORORO WA NGONO JF...www.jamiiforums.com
unamtafuta binti mpole mchana wote huu?
cha kushangaza mikakati yote ya kisiasa inapangwa ndani ya majengo yale ya gisaeng
hahahahhaaaaaa
virgin wa kiumeeeMimi nasubiri ushuhuda wako.
Karibu ugali na tembelevirgin wa kiumeee
hatari sana.Hatari sana [emoji23][emoji23] na watu wakitaka kupeana documents ambazo ni sensitive wanakutana kule, mtu anajitia kushikashika wale mala.ya kumbe ana business zake zingine kabisa
nitumie picha nitaridhikaKaribu ugali na tembele
angalia money flower hutojutia bando lakoHakyanani nimeona namba 5,6,7 na 8. Sasa yule kwani anaangaliaga hizi?
Hawa maskei kwini ni makahaba wa levo ya juu japo hawajiuzi mabarabarani. Hawa nasikia wana maajenti wao kabisa. Wewe uko Dubai huko unamlipa ajenti wake slei kwini anaruka na pipa kukufuata huko. Ndiyo maana utawakuta kila siku wanapiga picha wakiwa kwenye ndege au kwenye mahoteli makubwa makubwa. Ni makahaba tu !!!
najua leo umepika ndizi mbivu za nazi.Karibu ugali na tembele
Ndizi mbivu sizipendi kula mimi zilizo iva.najua leo umepika ndizi mbivu za nazi.
unajifanya kupiga ugali kumbe danganya toto.
ndio sembeeee?
[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1276929
wewe ni mshambaNdizi mbivu sizipendi kula mimi zilizo iva.
Hiyo leo tu najilazimisha πππndio sembeeee?
kumbe unapenda kuongopa
Why ndizi napika zilizo iva kisha nachanganya na nazi na hirizi tamuuuuwewe ni mshamba
unataka kuniambia ya kwamba ndani ya wiki moja unapika sembe mara 4 au zaidi?Hiyo leo tu najilazimisha πππ
Sawa ila nitasubiria pia siku utakayofurahi uniwekee na hiyoangalia money flower hutojutia bando lako
sasa ulidhani ndizi zipi nilizokusudia?Why ndizi napika zilizo iva kisha nachanganya na nazi na hirizi tamuuuu