Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
mzee wa good ebeningggggArsenal wamesema kwamba uamuzi huo umekuja baada ya kutofurahishwa na matokeo ya uwanjanni na kiwango cha timu kwamba haichezi kwenye ubora unaotakiwa.
huyu jamaa video zake zinafurahisha sanaaaaNuno Espirito Santo kwenda kuchukua mikoba hiyo ya Emery, huku makocha wengine wanaopewa nafasi ni Mauricio Pochettino, Mikel Arteta, Massimiliano Allegri na Eddie Howe wa Bournemouth.
Basi ndo Maana simjui maana situmii huo mtandao
Nilishashindwa.Hautumii instagram?? Kwanini jamani??