Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimelipenda swali lako maana limekaa kiushauri shauri.
Nakupenda sana mdogo wangu, uwepo wako nakua huru

Nashukuru sana Kaka Mkubwa hao watoto wakishua wanashindwa kuweka wazi kwamba kwa pesa zako za maparachichi humu we I lakini anavunga Tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa Mfano akitaka kutumia na wewe Wakishua si inabidi awe na mahela mengi sana mauzo ya parachichi zake sidhani kama yanakutosha [emoji23][emoji1549]‍[emoji3603]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani awe na mahela mengii , ikipungua sana awe hata viroba vinne vya noti vitasaidia[emoji125]
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ankoo bhana...

Heshima yako ankoo,kwema nyumbani?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ankoo haya mambo ujanani niliji fanya mgumu matokeo yake yananitesa uzeeni.
Kuna lisichana limenila 20,000 ili tu linichezee wimbo sijui unaitwa "everibadi unooo" ila lilijinyonga vizuri. Nasikia wanalipia bei sana ila mimi alinionea huruma kwa kuwa mgeni ndo akanitoza hiyo... Niliinjoi kwa kweli
 
Nashukuru sana Kaka Mkubwa hao watoto wakishua wanashindwa kuweka wazi kwamba kwa pesa zako za maparachichi humu we I lakini anavunga Tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…