Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Inter Milan ina mpango wa kumsajili mshambuliaji Olivier Giroud,33, mwezi Januari. (Tuttosport, via Calciomercato - in Italian)
[emoji23][emoji23]Hata mie naona
#nimwendowakupewatu[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1277233
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaliojiri tokea kuondoka kwako
- myoyambendi ameoa mwanamke wa kitanga, siku hizi anaingia humu ndani kwa shift....................myoyambendi tafadhali usiandike tena comment za poleee kule kwa msukuma................ nataka unisifu mimi tu kuwa ni mrembooooo........................ myoyambendi: ahsante wife wangu wa kitanga kwa kujaaliwa kiuno kama trektaaa
- Kgothalo amesherehekea siku yake ya kuzaliwa hapo jana, nafasi yake ya DJ ilirithiwa na The Happiness kwa muda hapo jana.
- SHIMBA YA BUYENZE eeeeeee amepoteza mapenzi dhidi ya wanawake wanene
- Numbisa amepigwa ban mara tano ndani ya wiki mbili
- moudgulf amkimbia Saint anne baada ya kupokea dhoruba nzito
- Cole Williams ahamia team ronaldoooo
- Davet aonekana maeneo ya msumbiji akiuza sungura
- Hawachi apigwa tena na mpinzani wake, mara hii ang'olewa meno ya mbeleee
[emoji818][emoji818]
Yameshinda tena? Aaaaaarghhhh !!!Aaah liver wanaboaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hana jipyaSana tayari wameshamjulia basi kila siku vichapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamekosea sanaKikao hiki ndicho kilichomfuata kazi kocha mkuu wa Simba View attachment 1277344View attachment 1277345