Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

33699413_218395922290049_514889913624166400_n.jpg
 
Yule jamaa yupo wazi, anazipenda timu zinazofungwa fungwa.
Kadri navyomjua anaipenda sana Livapuu ila ndiyo hivyo inashinda.
Anasubiri kwa hamu ianze kufungwa fungwa ili apeperushe bendera ya Kop[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehehe..naanza na Yule anayetuombea njaa muda wote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SYB hivi bado hukubali tu kama livapuu tunajua mpira?
 
Back
Top Bottom