Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Masuala ya winga wa Borussia Dortmund, Jadon Sancho yameshapatiwa ufumbuzi na mchezaji huyo hatarajiwi kuondoka mwezi Januari, asisitiza Mkurugenzi wa michezo Michael Zorc. (Goal.com)
NIPO POA SANA AISEEShwari mdau, za kwako
Uwa nawashangaa sana wanaoshangilia Mpira. Wengine hadi wanataka kulia kisa timu yake imefungwa.
Kingine unachotakiwa kushangaa shabiki hawezi hama team anayoshabikia
Fungua pm nakujaNione kwa wakati wako nikuunganishe [emoji16][emoji16][emoji16]
#Natania
Sina connection
Raia hadi dhambi tunanyimana
😂 this isn't Fair
Sina full information... Nasikia skia tu habari za Sanch msabwanda....Mara clip ya Vanessa