Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nipo hapa kaka mkubwa [emoji12][emoji12]
Mwachilie Young bro kimoja na usimbane bane tena. Na wewe ujiachilie. Siku hizi umepoa poa sana...Ninge huyu hafai wallahi
Nipo hapa kaka mkubwa [emoji12][emoji12]
Tena vibaya sana. Nadhani siyo baharia mzoefu...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] baharia anayumba huyu
Anko sio kwa gazeti lile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shuain zake sanchAnko Umeniona?!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Upo kama mimi mkuu. Huwa sielewi kabisa yaani [emoji16][emoji16][emoji16]Uwa nawashangaa sana wanaoshangilia Mpira. Wengine hadi wanataka kulia kisa timu yake imefungwa.
Uwa nawashangaa sana wanaoshangilia Mpira. Wengine hadi wanataka kulia kisa timu yake imefungwa.
Upo kama mimi mkuu. Huwa sielewi kabisa yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna kakipande kamoja katika series alizotoa kanatatiza sana....Mchaga huyu yuko vizuri [emoji16][emoji16][emoji16]Anko sio kwa gazeti lile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shuain zake sanch
Na ambavyo hujui kujali ukashindwa hata kunibembeleza 🏃🏃depal alikuwa analia wiki nzima humu ndani.
Wakianza kushinda nahama. Raha ya mpira kufungwa ati!Unai kashatimuluwa rudi ushangilie team yako
[emoji23][emoji23][emoji23] amedandia fani za watu ona anavyoweweseka, pole yakeTena vibaya sana. Nadhani siyo baharia mzoefu...
Ubaharia ni kazi ya hatari. Mbali na papa na nyangumi bado kuna ma hurricanes, water spouts na mauzauza mengine kibao. Ubaharia hauwezi huyu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3] khaa mbona na wewe huwa naona unashangiliaUpo kama mimi mkuu. Huwa sielewi kabisa yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
Kingine unachotakiwa kushangaa shabiki hawezi hama team anayoshabikua
Yaani sijaona series hata moja daahKuna kakipande kamoja katika series alizotoa kanatatiza sana....Mchaga huyu yuko vizuri [emoji16][emoji16][emoji16]
Mi nimeona vipande vinne...na kamoja ni ka kwake kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Yaani sijaona series hata moja daah
AiseeeMi nimeona vipande vinne...na kamoja ni ka kwake kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
Nashangiliaga Aseno na hii ni timu inayofungwa non stop. Wakianza kushinda nahamia kwa wachovu Manchester United[emoji3][emoji3][emoji3] khaa mbona na wewe huwa naona unashangilia