Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]ankoo
Ule mzigo sijauona,ila wadau wamekomaa ni wake japo mwenyewe amekanusha
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nimekaona kakideo, kuna kakitu nimekaona ka utofauti, ngoja niitafute (sijui hata bei yake) hela, lazima nikaonje kwa gharama yoyote, hata kwa kuuza nyumba, kwani nini bhana!
Yaani kakitu kadogo, sura yake sio ya kuvutia peupe ila kameua uwezo wangu wa kufikiri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ankoooo
 
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nimekaona kakideo, kuna kakitu nimekaona ka utofauti, ngoja niitafute (sijui hata bei yake) hela, lazima nikaonje kwa gharama yoyote, hata kwa kuuza nyumba, kwani nini bhana!
Yaani kakitu kadogo, sura yake sio ya kuvutia peupe ila kameua uwezo wangu wa kufikiri
Aiseeee
 
Tangu yule binti aweke ushuhuda wake huyu baharia kapaniki balaa. Kauza mechi na mabinti wanne humu + mtaani sasa anategemea nini? Ila kama ni hivi hali ni mbaya...

Halafu kule kwenye uzi wa kula tunda kwa masikhara mabaharia wamewaka comments zao nyingi zinafutwa japo wanasema kama ni kufa na UKIMWI ni wao...

Kazi kweli kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom