Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha nitafanya hvyo bro,Denzel anavitu flani hivi,vya kipekee sana,Nilimtazama kwenye Mississipi Masala,,yule mzee anajua sana aisee

Deep sana vile vitu lakini vinaongezwa na Darasani, sababu nakumbuka nilikuwa nasoma mahali sauti ambayo alikuwa anatumia klaus kwenye the Original alikaa darasani ndiyo akaipatia huko
 
Deep sana vile vitu lakini vinaongezwa na Darasani, sababu nakumbuka nilikuwa nasoma mahali sauti ambayo alikuwa anatumia klaus kwenye the Original alikaa darasani ndiyo akaipatia huko
Aisee,wenzetu wako mbali sana,imagine vitu kama vya Original watu hadi wanakaa darasani..na yale mambo kama ya Malcom X,Denzel usikute alikaaa darsan kusomea vitu vingi tu,ndio wakatoa chuma kama kile
 
Back
Top Bottom