Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee,wenzetu wako mbali sana,imagine vitu kama vya Original watu hadi wanakaa darasani..na yale mambo kama ya Malcom X,Denzel usikute alikaaa darsan kusomea vitu vingi tu,ndio wakatoa chuma kama kile

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo Mfumo bro yeah amekaa darasani majority of actors na actress wanapiga shule ya maigizo hata kama walianza wakiwa na vipaji vyao wanaongezea kachumbali

Mfumo bro ndiyo Tatizo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatzo mfumo kwa kweli,wenzetu kwa movie kama zile wanazama chimbo wanakula madini ya kutosha then ndio wanatoa kitu
 
Underground hao movement kama hizo haziwezi kupigwa kwenye Mainstream wenyewe Tunasema for the culture sababu mtu anachana Dk 5 huwezi kuta nyimbo inapigwa Dk zote hizo

Anajua sana Jamaa
Na mainstream inaharibu sana utamaduni wetu bro,kuna wengi tu wamemove kutoka kwenye ureal na kuhamia kwenye mainstream,hii sio bongo tu,worldwide mzeee,,,mainstream imedamage sana game ya hiphop
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba Xiavi kaanza kuzeeka,mipira mingi anapoteza,zile long pass sasa haziwafikii walengwa

Anafeli sana unashangaa akirudi na namba hapati tena, dimba lipo chini ya Arthur melo tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom