Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakuna mkate mgumu mbele ya chai bro
Nmeicheki bro,Denzel Washington anahitaji heshima yake ya pekee,,kuielewa Godfather of Herlem ilibidi niitafute Malcom X,niipitie vizuri ili nienda nayo sawa..Umecheki Malcom X ya Denzel Washington ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenifanya nicheke kwa sauti bro,,,hiyo line ya StaminaMzee umeshaolewa huyo na Mke wa mtu SUMU pia mimi sina maziwa bro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nmeicheki bro,Denzel Washington anahitaji heshima yake ya pekee,,kuielewa Godfather of Herlem ilibidi niitafute Malcom X,niipitie vizuri ili nienda nayo sawa..
Hahahah hiyo Geography is a destination imenifanya nmekumbuke @Fragilia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namwelewa sana huyo Mdada basi Tu bro
Geography is a destination
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenifanya nicheke kwa sauti bro,,,hiyo line ya Stamina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenifanya nicheke kwa sauti bro,,,hiyo line ya Stamina
Hahahaha nitafanya hvyo bro,Denzel anavitu flani hivi,vya kipekee sana,Nilimtazama kwenye Mississipi Masala,,yule mzee anajua sana aiseeHahaha hapo umejitahidi Yule ndiye MR X mwenyewe Denzel anajua sana tafuta na Deja vu hila ni za kitambo kidogo
Hahahah hiyo Geography is a destination imenifanya nmekumbuke @Fragilia
Tena chai ya mchai mchai[emoji23][emoji23][emoji23]Sema nikikutana na anayefanana naye fresh nitakuwa chai Tu
Dizasta hajawai kuniangusha toka enzi za Kanisa,anajua sanaUwe unamsikiliza na Dizasta Viña yupo vizuri naye [emoji1548]
Hahahaha nitafanya hvyo bro,Denzel anavitu flani hivi,vya kipekee sana,Nilimtazama kwenye Mississipi Masala,,yule mzee anajua sana aisee
Dizasta hajawai kuniangusha toka enzi za Kanisa,anajua sana
Naona buguruni ni saaa7 mchana ss hvHata huu mzigo wake wa Ndoano kawakilisha shida za jamii ipasavyo kabisa
Hahahah bro Shimba anatakuwa anajibu,wapi maadam kapotelea
Naona buguruni ni saaa7 mchana ss hv
Aisee,wenzetu wako mbali sana,imagine vitu kama vya Original watu hadi wanakaa darasani..na yale mambo kama ya Malcom X,Denzel usikute alikaaa darsan kusomea vitu vingi tu,ndio wakatoa chuma kama kileDeep sana vile vitu lakini vinaongezwa na Darasani, sababu nakumbuka nilikuwa nasoma mahali sauti ambayo alikuwa anatumia klaus kwenye the Original alikaa darasani ndiyo akaipatia huko
Hii ndoano sijaipata bro,itabidi niitafuteHata huu mzigo wake wa Ndoano kawakilisha shida za jamii ipasavyo kabisa