Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,845
Fresh tu nmemiss makutano ya buguruni sheli inabidi tukutane bwanaWatu hatulali huku yaani ndiyo kumekucha na dala dala za kwenda popote zipo wewe pita siku moja ujionee
Niaje lakini ?
Aisee,wenzetu wako mbali sana,imagine vitu kama vya Original watu hadi wanakaa darasani..na yale mambo kama ya Malcom X,Denzel usikute alikaaa darsan kusomea vitu vingi tu,ndio wakatoa chuma kama kile
Hii ndoano sijaipata bro,itabidi niitafute
Fresh tu nmemiss makutano ya buguruni sheli inabidi tukutane bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatzo mfumo kwa kweli,wenzetu kwa movie kama zile wanazama chimbo wanakula madini ya kutosha then ndio wanatoa kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo Mfumo bro yeah amekaa darasani majority of actors na actress wanapiga shule ya maigizo hata kama walianza wakiwa na vipaji vyao wanaongezea kachumbali
Mfumo bro ndiyo Tatizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] mzee mwenzanguTatizo mida hii mibovu nyie wakishua si rafiki kwenu mbwa wenu German Shepard utamtoka vipi, pita siku moja uone Usiku tunavyo ugeuza Mchana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Humu kuna chihuahua hana shida ukuta unarukwa tu fresh[emoji23][emoji23]Tatizo mida hii mibovu nyie wakishua si rafiki kwenu mbwa wenu German Shepard utamtoka vipi, pita siku moja uone Usiku tunavyo ugeuza Mchana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani bro,acha niipakue aisee,,ujue Dizasta Vina watu wanamchukulia poa sana,ila ana madini ya kutoshaIko powa sana ni Ngumu ile ile halafu shule nyingi na ya kutosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] mzee mwenzangu
Shukrani bro,acha niipakue aisee,,ujue Dizasta Vina watu wanamchukulia poa sana,ila ana madini ya kutosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba Xiavi kaanza kuzeeka,mipira mingi anapoteza,zile long pass sasa haziwafikii walengwaMzee mwenzangu Xiavi wa kuchukua dimba lake haonekani kabisa, mpaka nafikiria niwe kiraka nipige Dimba mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Humu kuna chihuahua hana shida ukuta unarukwa tu fresh[emoji23][emoji23]
Na mainstream inaharibu sana utamaduni wetu bro,kuna wengi tu wamemove kutoka kwenye ureal na kuhamia kwenye mainstream,hii sio bongo tu,worldwide mzeee,,,mainstream imedamage sana game ya hiphopUnderground hao movement kama hizo haziwezi kupigwa kwenye Mainstream wenyewe Tunasema for the culture sababu mtu anachana Dk 5 huwezi kuta nyimbo inapigwa Dk zote hizo
Anajua sana Jamaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba Xiavi kaanza kuzeeka,mipira mingi anapoteza,zile long pass sasa haziwafikii walengwa
Ngoja nikapande boda saa hizi uber wamelala usubiri hapo kobil ssNinyi lakini mnakuwaga na misemo yenu
Everything is Possible and why not
Hapa sibishi we tokea tuone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeAnafeli sana unashangaa akirudi na namba hapati tena, dimba lipo chini ya Arthur melo tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mainstream inaharibu sana utamaduni wetu bro,kuna wengi tu wamemove kutoka kwenye ureal na kuhamia kwenye mainstream,hii sio bongo tu,worldwide mzeee,,,mainstream imedamage sana game ya hiphop
Ngoja nikapande boda saa hizi uber wamelala usubiri hapo kobil ss
Unataka nifike asubuh eti eeh sawa nakimbia mdogo mdogoHapo si mdogo mdogo Tu boda ya nini sasa
Unafeli ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka nifike asubuh eti eeh sawa nakimbia mdogo mdogo