Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hata sijui nimejiandikia tu mimi.Unamaanisha nini?
Hahah aisee,hii kesi tayaliNingee babe wangu amefichwa wapi.?[emoji2296]
Nipo kaka,nilikupita kwenye ule uzi wako wa kuazimisha miaka mitatu,sema ilikuwa kimya kimya...Ningendako kitambo sana mkuu....
Nawasalimu wapendwa wote wa uzi huu...
[emoji16][emoji16][emoji16]Nipo , mnataka nini?
View attachment 1278593