Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Siyo kwa mipasho na kuseng'enyana [emoji1545][emoji1545]Hukumu Ni juu Yake Wenyewe
Lakini ametuagiza kuonyana kwa zaburi na tenzi huku Neno Lake likikaa kwa wingi ndani yetu.
Siyo kwa mipasho na kuseng'enyana [emoji1545][emoji1545]Hukumu Ni juu Yake Wenyewe
Lakini ametuagiza kuonyana kwa zaburi na tenzi huku Neno Lake likikaa kwa wingi ndani yetu.
Acha tu kaka yangu nafikilia kujinanii tukutane paradisoKwani kimetokea nn mpendwa?
SYB Leo at least mmejikazakaza mkatoa droo[emoji12]
Hapana, haina haja.....Acha tu kaka yangu nafikilia kujinanii tukutane paradiso
Kwa zaburi na tenzi kol3:16Siyo kwa mipasho na kuseng'enyana [emoji1545][emoji1545]
Sitaki kuamini kama my role model kashindwa kumuweka sawa huyu mwanae..View attachment 1278698
Dah Dogo kaharibika vibaya nakumbuka movie yake ya komfuu alikuwa fresh ama kweli madawa sio mazuri jumlisha unanii wake.
Hatari sana hiiWanawake haki ya nani Muumba Anawaona ...
View attachment 1278725
Mwiko wa kusongea na kupakulia ugali[emoji2089][emoji2089]View attachment 1278724