Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sitaki kuamini kama my role model kashindwa kumuweka sawa huyu mwanae..
Huku kuwapa Uhuru uliopitiliza vijana kuna madhara sana. Tuombe Mungu iwe ni photoshop
Kwani bado yuko andaeji huyu?

Kwao huko mtoto akishafikisha miaka 18 hata matokeo yake ya shule, ishu zake za afya na kila kitu mzazi huruhusiwi kuviona labda mtoto mwenyewe akushirikishe. Akikushtaki unafungwa.

Mzazi hapa asilaumiwe...Alimlea na kutimiza majukumu yake. Kama kaamua kufakamia unga acha apambane na hali yake
 
FB_IMG_1575222895921.jpeg
 
Back
Top Bottom