Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,444
- 110,233
Daah...Amin wewe Ni boss.
Usijichukulie poa mdogo wangu[emoji3526]
Kwanini dada..?
Daah...Amin wewe Ni boss.
Usijichukulie poa mdogo wangu[emoji3526]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Space,Time and Einstein.Hili ni jarida la TIME walitoa toleo maalum kuhusu ishu za uzee na jinsi ya kuishi marefu kulingana na sayansi ya sasa.
Unataka kitabu gani?
Majina sivijui.. ila napenda vitabu vya Kibudha,Psychology na Mambo ya Space n time (Fizikia)Hili ni jarida la TIME walitoa toleo maalum kuhusu ishu za uzee na jinsi ya kuishi marefu kulingana na sayansi ya sasa.
Unataka kitabu gani?
Haya mapapai yana ugonjwa wa ngozi ama?Usiku wa matundaView attachment 1278763
Yanavutia[emoji7]Usiku wa parachichiView attachment 1278740
Duh mkuu Leo unanukia kula tunda...Usiku wa matundaView attachment 1278763
Alichukua fomu ya kugombea uenyekiti taifa pia? [emoji16][emoji16][emoji16]
SYB Leo at least mmejikazakaza mkatoa droo[emoji12]
Aseno bwana dah
Marhaba hujamboKhantwe na meno ya kuku shikamoo (hivi kuku ana meno??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha karibu mkuu nimepokea salamu...Khantwe na meno ya kuku shikamoo (hivi kuku ana meno??
Daah kwababu ninekumbuka.. ngoja muda ufike niendeUsiku wa mananasiView attachment 1278769