Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nilijua kinahusu mambo ya space and time nikitafute.. endelea kuweka kava za vitabu kama hutajali
Duh nimeama zone...Usiku wa chenzaView attachment 1278738
Nashukuru Kaka, habari ya wekeend.?The Happiness na Mfilisti nawasalimu wakuu..
Hili ni jarida la TIME walitoa toleo maalum kuhusu ishu za uzee na jinsi ya kuishi marefu kulingana na sayansi ya sasa.Nilijua kinahusu mambo ya space and time nikitafute.. endelea kuweka kava za vitabu kama hutajali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani Heche naye alichukua fomu za kugombea Uenyekiti? Yaani Heche kashindwa uenyekiti wa kanda? Heche? Huyu kamanda asiyeogopa kitu? Duh !!!
Nafurahi sikia hivo..
Udumu katika upendo wake Allah
Sio boss lakini
Habari njema za wikendi hapa dada. Sijui kwako...Nashukuru Kaka, habari ya wekeend.?
FOOD AS MEDICINE.