Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
[emoji23][emoji23][emoji23] anaelewa anachokisema?View attachment 1279140
Kwani mimi ndio nimesema hayo?Hamuelewekagi
Kwani mimi ndio nimesema hayo?
Mimi sio msichana[emoji3] msichana mwenzako ndio kasema
Huyu nyau ana Raha sana
Hahaha
huyu jamaa anatamani awe moderator apate kuifuta thread yake
Safari ya kwanza ya treni ya umeme kufanyika Novemba 2019
#Magufuli_Effects. Safari ya Kwanza ya Treni ya Umeme hapa Tanzania itakuwa Mwezi Novemba Mwaka huu wa 2019, itakuwa kutoka Jijini Dar es salaam kuelekea Mkoani Morogoro. Ikumbukwe hii ni baada ya ujenzi wa reli ya SGR ambayo inatakiwa kufika Mwanza na Kigoma kukamilika awamu ya kwanza ya...www.jamiiforums.com
Mkazi wa Mji mdogo wa Mirerani Khadija Mtoro ameiomba Serikali Mkoani Kilimanjaro kufuatilia taarifa za kupotea kwa Binti yake Zaituni Shehe mwenye umri wa miaka 14, Mwanafunzi wa Kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Langoni Mjini Moshi ambaye anahisiwa kuwekwa kinyumba na Mwanaume .
_
Binti huyo ambaye alikuwa anaishi na Bibi yake alipotea tangu Mwezi September mwaka huu na hadi sasa hajaonekana na kusababisha kuwe na hisia za labda ameozeshwa.
_
"Baadhi ya Majirani wameniambia Bibi ana tabia za kuozesha Mabinti kwa Wanaumeni ili apate fedha sikuwa najua kuwa ana tabia hizo, baada ya kuambiwa napata wasiwasi" - MAMA WA MTOTO
_
khadija amesema Bibi wa Binti huyo ametoa taarifa Polisi lakini ufuatiliaji ni mdogo na hiyo inawapa hofu zaidi na kuhisi anahusika kwenye tukio la uozeshaji.
Huyo loyo niga atampata wapi? Maandaeitini bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] anaelewa anachokisema?View attachment 1279140
Shem bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ukipata hizo past papers na notes fanya kunipea na mimi.
Nimechoka kulala mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]