Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkazi wa Mji mdogo wa Mirerani Khadija Mtoro ameiomba Serikali Mkoani Kilimanjaro kufuatilia taarifa za kupotea kwa Binti yake Zaituni Shehe mwenye umri wa miaka 14, Mwanafunzi wa Kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Langoni Mjini Moshi ambaye anahisiwa kuwekwa kinyumba na Mwanaume .
_
Binti huyo ambaye alikuwa anaishi na Bibi yake alipotea tangu Mwezi September mwaka huu na hadi sasa hajaonekana na kusababisha kuwe na hisia za labda ameozeshwa.
_
"Baadhi ya Majirani wameniambia Bibi ana tabia za kuozesha Mabinti kwa Wanaumeni ili apate fedha sikuwa najua kuwa ana tabia hizo, baada ya kuambiwa napata wasiwasi" - MAMA WA MTOTO
_
khadija amesema Bibi wa Binti huyo ametoa taarifa Polisi lakini ufuatiliaji ni mdogo na hiyo inawapa hofu zaidi na kuhisi anahusika kwenye tukio la uozeshaji.
Watu wengine bana. Mvua 30 hivi hivi kwa sababu za kijingaaaaaa ....
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
447822992_512702.jpeg
 
Back
Top Bottom