moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Habari wadau
Huyu nyau ana Raha sana
[emoji16][emoji16]
Hahahahuyu jamaa anatamani awe moderator apate kuifuta thread yake
![]()
Safari ya kwanza ya treni ya umeme kufanyika Novemba 2019
#Magufuli_Effects. Safari ya Kwanza ya Treni ya Umeme hapa Tanzania itakuwa Mwezi Novemba Mwaka huu wa 2019, itakuwa kutoka Jijini Dar es salaam kuelekea Mkoani Morogoro. Ikumbukwe hii ni baada ya ujenzi wa reli ya SGR ambayo inatakiwa kufika Mwanza na Kigoma kukamilika awamu ya kwanza ya...www.jamiiforums.com
Aiseee..Twala amesema kwa kupata khabari kama hizo tu basi nusra alikuwa atokwe na mkojo suruwalini! Alipofika kwenye mkutano, Twala amesema aliwaona baadhi ya wenzake hawakuwa na mtizamo mzuri juu yake. Kila mmoja alikuwa akimuepuka epuka.
Alipoingia Mzee Karume na kwa namna alivyomuona, alisema Twala, aliona kuwa leo patakuwa na kazi hapa. Karume aliufungua mkutano kwa kusema, "Nimekwiteni kwa ghafla ili tupate kuyazungumza pamoja na kuyazingatia mazungumzo ya jana aliyoyazungumza Mwalimu Nyerere hapa, na namna mlivyomsikia Mheshimiwa Twala alivyoweza kunivua nguo na kuniacha uchi mbele ya mzee mwenzangu.
Ninakuapieni kuwa jana sikuweza kupata usingizi, usiku kucha nimekaa macho nikifikiri vipi Mwalimu ataniona. Kwani mimi nilikuwa sijui kuwa amri ya kuagizia vitu hivyo nimeitoa mimi? Najuwa, lakini, ilivyokuwa maneno aliyosema Mwalimu yalikuwa na uzito, niliona bora kosa hili nimtupie mwanangu ili mimi mzee nipate kusitirika, lakini sikujuwa kuwa mwanangu ndiye ataye nifedhehesha zaidi".
Laaahaula.....MWISHO WA TWALA
Kuondolewa AbdulAziz Twala katika Wizara ya Fedha, na kupelekwa kwenye Wizara ya Afya, ndio kulikuwa kumalizika kwake. Twala alisema kuwa alipopelekwa Wizara ya Afya, Waziri wake mdogo alikuwa Rashid Abdalla (Mamba). Twala ameniambia kuwa walikuwa na dasturi ya kukutana kila asubuhi kwa ajili ya kuzungumza juu ya kazi zao.
Siku moja, amesema Twala, alimuona Rashid Abdalla amekawia kufika ofisi. Mpaka kiasi cha saa nne ndipo alipoingia na alipoingia alikwenda moja kwa moja mpaka ofisi ya Twala. Alipofika, alimwambia Twala, "Mheshimiwa, tokea sasa hivi, mimi ndiye Waziri wa Afya na wewe funga virago vyako wende nyumbani kwako. Kila kilicho chako chukuwa mwenyewe na kila cha Serikali kiwache. Hata motokari usichukuwe tena. Haya ndiyo niliyoambiwa kutoka State House, unalo suala lolote waulize wenyewe".
😂 😂 😂huyu jamaa anatamani awe moderator apate kuifuta thread yake
![]()
Safari ya kwanza ya treni ya umeme kufanyika Novemba 2019
#Magufuli_Effects. Safari ya Kwanza ya Treni ya Umeme hapa Tanzania itakuwa Mwezi Novemba Mwaka huu wa 2019, itakuwa kutoka Jijini Dar es salaam kuelekea Mkoani Morogoro. Ikumbukwe hii ni baada ya ujenzi wa reli ya SGR ambayo inatakiwa kufika Mwanza na Kigoma kukamilika awamu ya kwanza ya...www.jamiiforums.com