Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Watu wengine bana. Mvua 30 hivi hivi kwa sababu za kijingaaaaaa ....Mkazi wa Mji mdogo wa Mirerani Khadija Mtoro ameiomba Serikali Mkoani Kilimanjaro kufuatilia taarifa za kupotea kwa Binti yake Zaituni Shehe mwenye umri wa miaka 14, Mwanafunzi wa Kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Langoni Mjini Moshi ambaye anahisiwa kuwekwa kinyumba na Mwanaume .
_
Binti huyo ambaye alikuwa anaishi na Bibi yake alipotea tangu Mwezi September mwaka huu na hadi sasa hajaonekana na kusababisha kuwe na hisia za labda ameozeshwa.
_
"Baadhi ya Majirani wameniambia Bibi ana tabia za kuozesha Mabinti kwa Wanaumeni ili apate fedha sikuwa najua kuwa ana tabia hizo, baada ya kuambiwa napata wasiwasi" - MAMA WA MTOTO
_
khadija amesema Bibi wa Binti huyo ametoa taarifa Polisi lakini ufuatiliaji ni mdogo na hiyo inawapa hofu zaidi na kuhisi anahusika kwenye tukio la uozeshaji.
😀😀😀[emoji23][emoji23]
Huu uzembe hauvumiliki kwakwel.
Kwema lakini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo loyo niga atampata wapi? Maandaeitini bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Watu wengine bana. Mvua 30 hivi hivi kwa sababu za kijingaaaaaa ....
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi hata sikufikiria deep namna hiyo. Kumekuchaje?[emoji3][emoji3][emoji3] inawezekana ila kilichonichekesha mimi ni kuwa sidechick kwa loyal niga. Kama ni loyal amekuwaje na sidechick
Watu wavivu bwana [emoji3]
Hapana. Mapenzi gani hayo wakati unajua kabisa kuwa utapigwa mvua 30? Tena kwa kitoto cha miaka 14? Wengine ni wagonjwa tusiwatetee !Usicheze na mapenzi bro[emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1279200