Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaonekana kuna mod wana bifu sasa ameamua kula naye sahani moja. Rolo modo wangu hatishwi. Mod mwenyewe atamwaga manyanga tu evenchuale kabda apaniki atoe kifungo cha maisha kama kipo hapa JF...
Kuna kajamaa nakaonaga kana tag sana mods na jamaa ni dabliyuusiibii damu sijui ndo walikutana kwenye logi zao
 
Kuna kajamaa nakaonaga kana tag sana mods na jamaa ni dabliyuusiibii damu sijui ndo walikutana kwenye logi zao
Yaani kale ishu ndogo tu kanatag kuanzia Mello, Invisible na mods wote yaani. Halafu mada za kenyewe za ajabu ajabu hata jinsia ya kenyewe utata mtupu japo kanatumia avatar ya mwanamasumbwi wa kiume...

(Nimefungua hii code sawasawa shem?)..[emoji16][emoji16]
 
Ndo kenyewe hako
Siku hizi kana shobo sana.

Unaanza kuiva kwenye codes[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado anakuwekea vikwazo??
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sema siku hizi nimepoa. Ingekuwa enzi zile na bro wangu wa ukweli Cole akiwepo kushangilia ningesema kitu cha kufurahisha sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…