Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole sana bro, najua unapata tabu mahali pa kuifuta vumbi simu yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha nashindwa kujua kwanini sinenepi, sina magonjwa makubwa kama pressure au diabetes na ninakunywa sana chai yenye sukari
Na ni mpenzi wa chocolates sana
Kitambi hakuna hata cha urithi [emoji23][emoji23]
 
Kuchapiwa hakuepukiki

haya maneno ni mepesi kuyatamka ila yanauchungu ndani yake..

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…