Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Wake wawili wote na wameshindwa kukunenepesha?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyama nakula sana na bila nyama sijui ntishije kwa kweli
Ila totoz Hapana nina wake wawili
Oops [emoji87] I shouldn’t say that
Hujambo capitalpool, naona umerudishiwa nywilaSalama Bro,
Habari yako Bradha?
Nipo AAA njoo
😀😀
Mogadishu....
Wake wawili wote na wameshindwa kukunenepesha?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyama nakula sana na bila nyama sijui ntishije kwa kweli
Ila totoz Hapana nina wake wawili
Oops [emoji87] I shouldn’t say that
Triple A
Triple A
AAA....
#KuchapiwaHakuepukiki [emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji817][emoji817][emoji817]Kuchapiwa hakuepukiki
haya maneno ni mepesi kuyatamka ila yanauchungu ndani yake..
Kuliwa wadada maofisini kamwe hakutoisha
Kiukwel ni ngum sana kwa wadada /wake za watu/interns kuendelea kuto kuliwa jameni hum maofisin. Sijaoa ila nikioa mke wangu namfungulia biashara hapo hapo nyumban ama hafany kaz kabisaaaa. Tabia hii niliacha sabab ya kuamua tuu kuacha,ila kwa jins wadada hawa wanavyojirahisisha sio kwangu tuu...www.jamiiforums.com
Likely maelekezo kutoka juu. Kamanda mkakamavu anastahili ngazi ya kitaifa kabisa basi tu unless kama anaonekana ni threat kwa maslahi ya watu fulani. Namkubali sana!Kamanda mrembo huyu ndiye aliyemuangusha kamanda mkakamavu John HecheView attachment 1279583View attachment 1279595
Dunia hii kweli tunapita tu...Hugo Chavez na GaddafiEnzi za wababe wawili hawa.. View attachment 1279596
Kama kaoa wakorofi hatanenepa ng'o hata ahamishie makazi kwenye pipa la mafuta. Sana sana ataRIP mapema [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Wake wawili wote na wameshindwa kukunenepesha?
Mashinji hata sijui ukatibu mkuu aliupataje wallahi. Hashabihiani kabisa na hao makamanda wengine...
Hiki kilikuwa kichwa wallahiNukuu zinazoishiView attachment 1279601