The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
...CCM mbele kwa mbeleView attachment 1280161
...Acha waisome nambaView attachment 1280160
.....Na waseme wapasukeView attachment 1280158
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kweli hii tumeipenda wenyewe...Tumeipenda wenyeweView attachment 1280157
Hakika, mie nakula zangu kabisa na ukirudi tunakula wote[emoji473][emoji473][emoji23]
Hakika, mie nakula zangu kabisa na ukirudi tunakula wote[emoji473][emoji473][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] acha ramli chonganishiiiNdio maana umekua chibonge
Duh!...CCM mbele kwa mbeleView attachment 1280161
Achia nywila kabla sijaanza ##[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] acha ramli chonganishiii
Mimi kuna huyo mmoja alinizungushaga sana hadi nikamnyang'anya simub[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati nzuri fundi wangu Hana longolongo.
Nikimpelekea nguo Leo namlipa kabisa..akikwambia njoo keshokutwa Anakuwa anamaanisha kweli.
Ila Kuna mafundi cherehani Ni vichomi[emoji1787]
Tupo ila tunakula jikoni kwanza[emoji23][emoji23]