Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwakuwa anakuja kama Waziri mkuu mstaafu, hapo kila kitu kimeshajieleza, anarudi kwao Lumumba.
Watu waliozoea madaraka hawawezi kuishi bila kupata kacheo furani.
Huko Lumumba atapata Uenyekiti wa bodi ya shirika furani mambo yataishia hapo
ofisi ya waziri mkuu wametoa tangazo la mkutano wa sumaye................
moudgulf tupe utabiri wako na mapemaaaa
sumaye atazungumza nini kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…