Mi nakusikiliza wewe tu maana moyo ndio umeukamataWale wageni wa kiume atapokea andjul akisaidiwa na Kichwa Kichafu
Nipo kamanda. Leo nasikia ulikuwa umejichimbia mahali ukihangaikia totoz mpya.SHIMBA YA BUYENZE naomba uamke
Huyu jamaa mbona unapenda kunidhibia riziki yangu kwa carbamazepine.Sometimes haya mambo ya love hayahitaji competition ni destiny inayotuchagua kama cole na ZEpINe shimba ya Jakitoo, andjul nsamaka, kichwa kichafu na upweke.
Sis, unataka watu tukimbie tena? Huyu ISIS wakati mwingine anatisha hasa akianza kunywa damu na kujibadilisha maumbo...
Saivi sina mazizi.Asije akawa mzee wa mazizi mengi kama kichwa kichafu
Hahahaha niangalie macho yangu!Sis, unataka watu tukimbie tena? Huyu ISIS wakati mwingine anatisha hasa akianza kunywa damu na kujibadilisha maumbo...
Sis, mi ntakimbia sasa hivi...ha ha haaa
TuliaAvatar yako inachekesha sana pole sana kichwa kichafu ndo life hili.
Gonga likesLaleni wakuu
That's it sis. Nimemsoma huyu Goddess mpaka ameanza kunitisha.View attachment 536961
Hahahaha niangalie macho yangu!
Asante sana.Pole...acha me niendelee kusukuma gurudumu hili...ila mletee mgonjwa juice[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapana usikimbie nitarudi baadae! BurudikaSis, mi ntakimbia sasa hivi...ha ha haaa
likesThanks