moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
"Nitainyanyua CHADEMA na nitavifuta vyama vyote kanda ya kati
Nipeni muda na tuombe uhai"--
NyalanduView attachment 1281595
Mke ambae ni mpishiUnatafuta mke au mpishi?
Huyo ukitaka kumwogopesha mwambie tu kijana Daudi anakuja na kombeo lake. Hutamuona hapa...Mkuu mfilisti wapi Delila.
Yale yale tu. Kesho na kesho kutwa naye unamkuta keshabadili gia.
Wamarekani walikuwa wanamtaka sana awe rais. Sijui hata ilikuwaje mteule huyu....
Unatafuta mke au mpishi?
Yale yale tu. Kesho na kesho kutwa naye unamkuta keshabadili gia.
Wamarekani walikuwa wanamtaka sana awe rais. Sijui hata ilikuwaje mteule huyu....