moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kamwe Usimwamini Mwanasiasa Hata Kama ni Babako Mzazi[emoji3][emoji3][emoji3] daah kila mtu unamnanga
[emoji3][emoji3] aiseeKamwe Usimwamini Mwanasiasa Hata Kama ni Babako Mzazi
(Alisikika andaeitini mmoja mwenye busara)
Duh!View attachment 1281587
Mabaharia karibuni nimeboresha huduma choo cha mabaharia tu
Akafufue mashamba yake...Sumaye ndiyo habari ya mjiniView attachment 1281601
Sijui tumuamini nani kila mmoja anajitetea.Kutegemea makapi toka chama tawala kuna gharama zake.
MzibebeView attachment 1281648
Siku zimeenda..