Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Ndoa ni Sawa na kuweka mkono kwenye giza nene hujui utatoka na niniNdoa ni kuvumilia maudhui yanayokera,Ndoa ni magizo yasiyo na hela
Swadakta mpendwaNaongezea,Ndoa ni uvumilivu na subra
Ni kweli kabsaNdoa ni Sawa na kuweka mkono kwenye giza nene hujui utatoka na nini
Ndoa imegawanyika katika sehemu kuu mbili furaha na huzuni.Asiyejua ni nani kuwa mlioana Msikitini na mkaachana Mahakamani
Ndoa ni yai,Ndoa ni kama kesi ya jinai
#NdoaNiFumbo
Bro, umefanya nini broπππWewe mpendwa wewe[emoji2][emoji2][emoji2]
Umeona nini mpendwa?Ila mbona utamu wako anatupia walimwengu tunaona
Umenipindulia meza broππππ[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
#SasaHiviNachezeaGetiLaChini[emoji23][emoji23]
Hakika mpendwaKauli ya kwamba sikuachi mpaka kifo,inasemwa na wengi ila wachache wanamaanisha..
#NdoaNiFumbo
Ndoa ni kuvumilia maudhui yanayokera,Ndoa ni magizo yasiyo na hela
[emoji2][emoji2][emoji2] huyu mpendwa ana mambo sana brohBro, umefanya nini bro[emoji3][emoji3][emoji3]
Utamu wa Ningendako kwa bae wakeUmeona nini mpendwa?
Asiyejua ni nani kuwa mlioana Msikitini na mkaachana Mahakamani
Ndoa ni yai,Ndoa ni kama kesi ya jinai
#NdoaNiFumbo