ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Goddess IsisY #7?
Goddess IsisY #7?
Jamani nini tena?Nani huyo alionyoosha mkono kugusa hata upande wa khanga kwako.
Nimerudi mama hamna atakaye kugusa tena.
Ulizi wangu zaidi ya Cole Williams kwa ISIS
[emoji7]Kichwa Kichafu uko wapi
Yaani nazipenda pendoniHa ha haaa ISIS
Picha zako za mida hiii
Eeeeeh
[emoji7]Nimekuja
Abeee
Salama kabisa
Yamekukuta yepi tena kichwa?
Nopeguys hamjalala??
Hamna kitu namuakikishia ulinzi tu nimpendae.Jamani nini tena?
Mkuu ndio nahamka maana huku kibiti saivi ni asubuhiguys hamjalala??
Hamna tatizo mkuu.Jamani ngoja nisinzie kidogo..badae
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha haaaaa
Nipo macho ndani ya escapeone naburudika na Saida Karoli usiku huu live
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeona lyrics kwenye muandiko wako hapo juu nikawa najiuliza za wimbo gani.
Kumbe wakati unatype na lyric za saida karoli zikazamia jf
View attachment 536961
Hahahaha niangalie macho yangu!
That's it sis. Nimemsoma huyu Goddess mpaka ameanza kunitisha.
Kumbe kuna watu mpaka leo wanamwabudu.
Mi nakimbia aisee....
gods of egypty
HahahhhaaHa ha ha haaaaaaaa
Zikisindikizwa na sauti ya muziki unaopiga kibombaaaa masikioni