Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji3][emoji3]
Mambo yao tuwaachie wenyewe....yasijekuwa kama yale ya Uwoya na ile event yake ya Gran Melia baadae akaanza kupost picha kitumbo kinaonekaana baadae kikapotea
Ukisema habari za uwoya nakumbuka lile koti lake alilovaa kwenye hiyo event yake[emoji23][emoji23][emoji23]sijui nani alimwambia alipendeza jamani.
Koti kama fuko la mashine
 
Ukisema habari za uwoya nakumbuka lile koti lake alilovaa kwenye hiyo event yake[emoji23][emoji23][emoji23]sijui nani alimwambia alipendeza jamani.
Koti kama fuko la mashine
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ madai yake alitoka kitofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…