Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Those good ole days indeed wallahi money loves me and ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai ende Lucifer Orijino is mai aza neimu....

#CallmeDaddy
#ShimbatheDon
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka zamani,enzi za baby twende kazini[emoji23][emoji23]

Kwema lakini shem??
 
Isis sijui kakimbilia wapi jamani,hapa angekuwa kashaweka picha zake zile[emoji23][emoji23]
Nimekumbuka amun ra(sijui kama nimepatia)
Amun Ra. Majina ya miungu ya Misri ya kale. Ndiyo asili ya neno Amen....

Angekuwepo sasa angekuwa keshavunja rekodi ya kufikisha likes milioni moja+. Labda yupo kwenye jukwaa la siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…