Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
๐๐The AlchemistSantiago? Kitabu gani hicho?
Kama macho hayataki tena acha jeuri za Kipare. Lala [emoji16][emoji16][emoji16]
๐๐๐๐๐๐๐Daah!
๐๐๐๐๐๐๐Shabiki damu wa Liver alafu ata hajui rangi ya jezi zao Saint anne
AiseeDaah!
Salama bro, Mungu ni mwema.Ma-Bro wote humu ndani naimani amani ipo juu yenu ....
Mambo ni vipi shem?Aisee
Nasikia alienda kwa mganga kumroga danga lake limpe mihela shost ake aliempeleka ndo kampiga picha.Ndiyo maana hata wengine huwa wanalalwa na hawa waganga aisee. Na huyu inaonekana ni binti mbichi tu yaani. Sijui kaenda kutafuta nini...
Hello sweetie!
Naomba utambue kuwa u miongoni mwa KE 3 ninaowapenda kutoka moyoni. Sijui kwanini ila moyo wangu unawachukulia kama 'my sisters from another mother'[emoji7]
[emoji111][emoji111][emoji120][emoji120]hahahahah
Labda mjaribu kutumia kindle(or the likes) kwani hautashawishika kuperuzi au kufanya kitu kingine tofauti na kusoma.
Pia, ukijitahidi story ikishanoga utamu ukakolea nafikiri hata kwenye simu mtasoma tuu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna ibishani tena hapo Dunia imeshaamua kuwa Leo Messi ndio King wa hiyo kitu.
Habari ni gani kaka mkubwa?
Mie sijambo kabisa.Mrembo carbamazepine hujambo?
Welcome back My king, [emoji177][emoji177][emoji177]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani wewe,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtekwaji kapewa nywila
Amkeniii amkeniii amkeniiiii
KD kapewa uhuru wake leoooo[emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]
The Happiness tunashukuru sana kumuachia huyu kiumbe,pongezi zikufikie
Kwema kabisa mtani, sijui wewe?[emoji111][emoji111][emoji120][emoji120]
Kwema?
Naona uso umejaa tabasaaaaaaaaamu utafikiri sio wewe uliyeficha nywila๐๐๐Welcome back My king, [emoji177][emoji177][emoji177]
Hunizidi mimi Dave
Kaka, kwemaa huko? Leo nimekuletea mwalimu wako[emoji23][emoji23]Kwema kabisa mtani, sijui wewe?
#hukunipaMrejeshoWowoteJana
#AuNakutesa?
[emoji23][emoji23][emoji23]Welcome back My king, [emoji177][emoji177][emoji177]
Hunizidi mimi Dave
Hahahahahha, Kaka bhana! Nimemmis kweliNaona uso umejaa tabasaaaaaaaaamu utafikiri sio wewe uliyeficha nywila[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani wewe,