moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]sawenii tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo yako oves.
Mmevurugwa vibaya[emoji1787][emoji1787]
Mimi nimwfurahi,mmeturahisishia ushindi wetu[emoji23]
#mancityhoii!!mambohoveskabisa
Nadhani[emoji3][emoji3] usipomuona utamuota
Wameturahisishia kazi [emoji3526][emoji3526]
Haha unakwama wapi mwanaliverpoolNasinzia hapa[emoji24]
Fanya kuniwekea Basi jamani Manchester Leo mmeshinda[emoji23]
Asante sana poti!!Shukrani sana poti. Weekend njema.
Walikuwa wanatuparamia mno[emoji1787][emoji1787]Sana, jamaa walitukalia nyuma kama tunadaiana bhana[emoji23][emoji23]
Fanya kuweka please [emoji24][emoji24]Haha unakwama wapi mwanaliverpool
Hongereni bro,
Hahah[emoji3][emoji3] usipomuona utamuota
🙏🙏🙏Man city poleni
#nmeshitukamapema[emoji23][emoji23]Usilipukee
#Ciao[emoji111]
Huyu kaka leo Manchester wakimuona wanatokwa na machozi ya furaha[emoji23]Tunarudi hapa.. team AJ tufahamianee.View attachment 1284948
Tupo pamoja kwa AJTunarudi hapa.. team AJ tufahamianee.View attachment 1284948
Aisee, dada.[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]sawenii tu
Hawa wanacheza hata wao wenyewe hawaelewi wanachokicheza Kama ni mpira au ngoma asilia[emoji1787]Chelsea poleni
Wamefanya kazi kubwa sana Man UnitedMan City [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pongezi na shukrani kwa timu iliyoifunga city[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatuna Cha kuwalipa[emoji23][emoji23]